TyDiQA1.0

The Typologically Different Question Answering Dataset

Predictions

Scores

Ziwa Natron

The Typologically Different Question Answering Dataset

Ziwa Natron ni ziwa la chumvi lililopo kaskazini mwa Tanzania, katika Mkoa wa Arusha, karibu na mpaka wa Kenya, katika tawi la Afrika mashariki la Bonde la Ufa.